MAELEKEZO YA CHAMA KWA SERIKALI KATIKA WIZARA YA FEDHA

Maelekezo ya CCM kwa Wizara ya Fedha na Mipango kwa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2021/22. 1.Kuimarisha Ofisi ya Msajili wa Hazina. 2.Ukuzaji wa uchumi. 3. Udhibiti wa mfumuko wa Bei. 4.Kupunguza Utegemezi wa Kibajeti. 5. Uhimilivu wa Deni la Taifa. 6.Uimarishaji wa mifuko ya utaoji wa mikopo